Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kinyerezi, Dar Es Salaam


๐ก NYUMBA INAUZWA KINYEREZI SHULE โ BEI POA! ๐ก
Nyumba safi kabisa, tayari kuingia leo hivi!
โ
Vyumba 4 (2 master)
โ
Sebule + Dining
โ
Jiko lenye makabati
โ
Choo cha umma
โ
Kisima + Tanki kubwa
โ
Paving yote + Parking
๐ Eneo: 700 sqm
๐ฐ Bei: Mil 85 (inajadiliwa kidogo)
๐ Service charge ya kuona: 30,000/= tu
Mahali pazuri, salama na penye maendeleo ya haraka!
๐ Piga sasa: +255 688 412 890
Fursa haidumu โ nyumba ya ndoto inakungoja! ๐ฅ๐


















