Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


#NYUMBA_KALI_SANA_INAUZWA#
IKO-DAR-ES-SALAAM TZ
MAHALI-MBEZI BEACH
MAKONDE UPANDE WA JUU
UKUBWA WA ENEO LAKE SOM 1000 BEI INAUZWA TSH MIL 380
MAONGEZI YAPO
NYARAKA ZA UMILIKI~UKINUNUA HATI INATOKA KWA JINA LAKO (PAMEPIMWA)
NYUMBA MPYA YA KISASA KUBWA YA KIFAMILIA
INAJITEGEMEA
YENYE;-
Vyumba vinne vya kulala #Vitatu ni masta #Sebule kubwa #Dinning #Jiko zuri lenye #makabati #Choo #Bafu vya ndani public #Ac #Heater maji moto #Gypsum #Tiles #Slides Windows #Umeme upo wa #Luku yake #Maji yapo ya #bomba #24hrs Cars #Parking space ipo kubwa Nje #Pavingblocks #Garden
#FencedHouse
INA SERVANTKOTA
AMBAYO:-
Chumba kimoja cha kulala #Choo chake #Jiko la nje
#NB...NYUMBA NZURI SANA KWA FAMILIA YAKO, IKO ΜΤΑΑ MZURI HAINA MGOGORO, KESI NA PIA SIO YA URITHI KUNUNUA NAKUHAMIA HАРОНАРО
0746 433 854