Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbezi Makabe, Dar Es Salaam (400 sqm)


Aina
Nyumba
Vyumba
4
Ukubwa
400 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
Pagale linauzwa pagale lipo mbezi makabe
Pagale ni la vyumba V4 master public sebule jiko
Eneo sqm 400 makadilio
Bei mil 33 tu
Nyumba ipo mtaa wa juhudi mitaa mizuli sana
Hati mauziano selikali ya mtaa
Karibu sana mteja



















