Nyumba ya vyumba vitano inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA MPYA KABISA INA PANGISHWA KIMARA MWISHO
KODI 250,000X3/4/5/6
VYUMBA VIWILI VYA KULALA PUBLIC TOILET
HAKUNA MASTER
JIKO KUBWA
NA KIBARAZA KUBWA LIMEFUNGWA
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
UMBALI KM 2.5
BAJAJI 1000
DALADALA 700
TAILS JIPYSUM MADILISHA YA WAVU YENYE HEWA SAFI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
0713320608
0686334182



















