Nyumba ya vyumba vitano inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA KISA INA PANGISHWA
KODI 250,000X6
LOCATION: KIMARA SUKA
UMBALI KM 1.5
VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA
CHOO CHA FAMILIA CHA PEMBENI
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA
USAFILI BODA 1000 HADI NYUMBANI
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
CALL 0659244543