Nyumba ya vyumba vitano inapangishwa Magengeni, Mtwara


NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE BOKO MAGENGENI
------------
Vyumba 5 vya kulala master bedroom
Seble kubwa
Dinning room
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Slide window
Full air condition
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Garden safi
Ndani ya fence
Parking space kubwa
----------
Service charge 20,000/=
Kodi USD 1500 kwa mwezi
Ilipwe miezi 6
------------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni USD 1500
------------
Contact
📞#0676_218580 (WhatsApp)
📞#0693_673010
#Dalali_big_goba_mbezi_beach 🇹🇿