Nyumba ya vyumba vitano inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







STAND ALONE HOUSE/ INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE INAPANGISHWA MBEZI KWA YUSUF
Vyumba 5 vya kulala vyote master bedrooms sebule dinning jiko linafungwa makabati
Kodi 1,000,000 kwa mwezi × 6
Nyumba inaeneo kubwa sana sana, nimpya ina backup ya Umeme ( kuna solar panels za kutosha)
Umbali KM 1 kutoka kituoni
Kupelekwa kuona nyumba elfu 20
Nyumba hii ni Mpyaa Mpyaa Inawekwa Pavin Block
Mafundi wapo Site
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0712500602
0755336565