Nyumba ya vyumba vitano inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


STAND ALONE  FURNISHED HOUSE FOR RENT/ INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE NA INA KILA KITU  INAPANGISHWA MBEZI KWA YUSUF 
Vyumba 5 vya kulala vyote master bedrooms sebule dinning jiko linamakabati full AC 
Kodi 2,000,000 kwa mwezi × 6
Nyumba inaeneo kubwa sana sana,  ina backup ya Umeme ( kuna solar panels za kutosha)
Umbali KM 1 kutoka kituoni 
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0679447338
0753454167



















