Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


NYUMBA YA BIASHARA,VYUMBA 5,TSHS.85 MILIONI,
KIGAMBONI-DARAJANI.
Ni nyumba nzuri ya kisasa.
Ipo ndani ya Fensi na kila Chumba kina 
Choo chake ndani.
VYUMBA VYOTE VINA WAPANGAJI. 
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000. 
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu. 
+255 714 591 548
_____________
Ukihitaji kukagua taarifa mapema Tafadhali.




















