Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


House 🏠 for sale
Location kigamboni Twangoma
Nyumba inavyumba 5 vya kulala Vyote Mastar,sitting, daining,Jiko, N.k
Juu kuna Vyumba 3 Vyotemastar
China Vyumba 2 pia vyote mastar
Ukubwa wa eneolake ni Sqm 1600
Pia nyumba inaumilki wa Hati ya wizara
Kilometer 15 kutoka fer
Kilometer 16 kutoka darajani
Kilometer 1 kutoka lami
Price 350 million
Kwa Maelezo zaid
☎️+255 789020004