Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Majohe, Dar Es Salaam


MJENGO VYUMBA 5 KWA TSHS 25 MILIONI TU,VIWEGE/KWAMPEMBA-MAJOHE.
USISHANGAE KIMFAACHI MTU CHAKE,
NA BAHATI HAIJI MARAMBILI.
HII SIO YA KUJIFIKIRIA SANA UTAIKOSA.
Kiwanja SQM. 260.
Gari inaishia nyumba ya pili.
Ni jirani na Kituo cha Daladala.
Vyumba 5 ( Masta 1)
Pia kuna Sebule, Jiko na Choo cha Familia ndani.
Kama una Familia kubwa hapa unajikomboa.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_______________mskv



















