Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam


PAGALE LENYE VYUMBA-5,TSHS.20 MILIONI,MBANDE MBAGALA.
Limeishia hatuavya Linta.
Eneo ni MBANDE VIKUTA
Maarufu KWA MZEE WA KEKO.
Linauzwa kwa DHARULA hivyo wahi tumkwamue mwenzetu lakini wakati huohuo nasi tunapata Mali nzuri kwa BEI MSEREREKO.
Ujenzi wa kisasa.
Vyumbax5 vya kulala (Masta 1
Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_____________rjkM