Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


🏡 BEI:260 ml
NYUMBA INAUZWA – MBEZI BEACH (TANGI BOVU)
✨ Nyumba kubwa ya kifamilia
• 🛏️ Vyumba 5 vya kulala
• 🚿 Mabafu 4
• 📐 Ukubwa wa eneo: SQM 500
• 📍 Ipo Mbezi Beach, Tangi Bovu – eneo zuri na rahisi kufikika
💰 Viewing fee: Tsh 50,000
📞 Piga simu kwa maelezo zaidi na kuona nyumba
#NyumbaInauzwa #MbeziBeach #TangiBovu #Vyumba5 #RealEstateTanzania Uwekezaji



















