Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam


🏡 HOUSE FOR SALE / NYUMBA INAUZWA
📍 Dar es Salaam – Mbweni Malindi Mwisho
🛣️ Mita 10 kutoka lami, mtaa wa kishua sana
💰 BEI: TZS Milioni 500 (maongezi yapo)
🏠 MAELEZO YA NYUMBA
• Nyumba ya familia
• Kiwanja SQM 700
• Umiliki: Hati kamili (Wizara ya Ardhi)
🛏️ MUUNDO
• Vyumba 5 vikubwa (vyote Master)
• Sebule kubwa + Dining
• Jiko lenye space
• Jiko la nje lenye makabati
📞 Mawasiliano:
0687800788 / 0713958395



















