Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Sinza, Dar Es Salaam


STAND ALONE
@
Inapangishwa
@
Bei 2.000.000 kwa mwez
@
Mahali sinza
@
Malipo miez 8 na deposit mwez 1
@
Dalali mwez 1 jumla miez 10
@
Ni nyumba ya vyumba 5 sebule jiko choo
@
Parkingi ipo
@
Umeme mita yako na maji pia
@
Garama ya kupelekwa ni sh 30000
@
Kwa mawasiliano ya sm 0756999550
@
Namba ya wasp 0659848687



















