Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba Nzuri Sana Inauzwa
Mahali: Tabata Kinyerezi Shule
Bei: Milioni 400 (Maongezi)
Dk1 Kutoka Lami, Mtaa Ni Wa Kishua Sanašš»
āļøSqm1000
āļøIna Fremu 5 Mbele
āļøVyumba 4, Kimoja Ni Master, Sebule, Dining, Jiko Na Choo
āļøHati Miliki Ya Wizara
āļøMaji Dawasa & Reserve Tank
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 50,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)
Whatsapp: 0764486945
Call: 0682699988 / 0622651649
Viwanja Na Office Space Pia Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wanguš
#MasterMijengo #DalaliMasterTz