Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam







NYUMBA  INAPANGISHWA 
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI (STAND ALONE)
___________
LOCATION: BUNJU - MINGOI
___________
Nyumba ina  Vyumba 3 vya kulala, Chumba 1 Master,  Sebure, Dinning, Stoo, Jiko  na Public Toilet.
KODI: Tsh. 250,000/=Kwa Mwezi
___________
Service Charge: Tsh.20,000/=
Call/WhatsApp: 0687800788




















