Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KISASA INAPANGISHWA ๐ก
๐ Bunju 'B' โ Njia ya Mabwepande
๐ Stand Alone โ Ipo ndani ya fensi kwa usalama zaidi
MAELEZO YA NYUMBA:
๐๏ธ Vyumba 3 vya kulala โ 1 ni Master
๐๏ธ Sebule kubwa
๐ฝ๏ธ Dining room
๐ณ Jiko lenye nafasi
๐งณ Stoo
๐ฝ Choo cha familia (Public Toilet)
GHARAMA ZA UPANGAJI:
๐ฐ Kodi: Tsh 400,000/= kwa Mwezi
๐๏ธ Malipo ya miezi 6
๐ ๏ธ Service Charge: Tsh 20,000/=
๐ Call / WhatsApp: 0687 800 788