Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


NYUMBA YAKUJITEGEMEA  INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM
MAHALI _  GOBA KINZUDI 
______________________
 
#VYUMBA VITATU KIMOJA MASTA _SEBULE_ JIKO_CHOO#
KODI  TSHS LAKI  600,000/= KWA MWEZI
——
MALIPO YA MIEZI 6
________________ 
_____________
YA KIFAMILI
_______
YENYE:-
vyumba vitatu 1 masta  # vikubwa Na  Sebule  Public toilet
#na # Jiko Lenye Makabati 
#Gypsum #Tiles #Slides #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
#pervingblocks 
FencedApart 
Kuona nyumba 30,000 ———



















