Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


Nyumba Inapangishwa. Inajitegemea, Ipo GOBA
Ina Vyumba 3 vya kulala, Viwili ni Master, Dining Room, Sitting Room, Kitchen, Public Toilet.
Umeme wa Luku
Dawasa
Bei ni Million 1 Laki 2
Gharama ya kuona
20,000
Wasiliana nami
0718 809 744