Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


Inapangishwa: inajitegemea
Location :: Goba centre umbali 4.5 kilometa
Bei yake :: 400,000Tsh kwa mwezi (Miezi 6)
Muundo wa nyumba;
🌡️Vyumba vitatu(vyote Masta)
🌡️Sebule kubwa
🌡️Jiko kubwa
🌡️Choo cha wageni
🌡️Fans
🌡️Paving Blocks
🌡️Fence
Call/Whatsapp;
0652472014
0754344786