Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam


#STAND_ALONE/ INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE #200k
====
INAPANGISHWA KIBAMBA KWA MANGI
====
Vyumba 3 vyakulala sebule jiko dinning na public toilet
===
Bei:200,000 Kwa mwezi × 6
===
Inajitegemea kila kitu fence na parking
====
Umbali KM 2 toka kituoni bodaboda 1000
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===
PIGA SIMU 0789049684