Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kilimanjaro, Kilimanjaro


STAND ALONE HOUSE FOR RENT
//
NYUMBA INAPANGISWA
IPO KIBAMBA CHAMA, INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE ENEO
NYUMBA KUBWA INA VYUMBA VITATU KIMOJA NI MASTER KUBWA SANA NA INA JACUZZ,PUBLIC TOILET, JIKO LINA MAKABATI.
UPANDE WA PILI KUNA SERVANT QUARTER YA CHUMBA MASTER,SEBULE NA JIKO,NA CHUMBA KINGINE KINACHOJITEGEMEA NA PUBLIC PIA YA NJE.
INAJITEGEMEA KILA KITU.
UKITAKA KUCHUKUA ZOTE YAANI NYUMBA KUBWA NA NYUMBA ZAKE NDOGO ZA UANI KODI 450,000.
UKITAKA KUCHUKUA NYUMBA KUBWA PEKE YAKE 350,000.
UKUBALI KUSHARE NA MPANGAJI MWINGINE KWENYE HIZO SERVANT QUARTER.
SERVICE CHARGE NI ELF 30
MALIPO YA KAZI NI 450,000
TUPIGIE +255-658-582-977
KUJIUNGA NA GROUP LETU LETU WHATSAP WHATSAP BONYEZA HAPA https://chat.whatsapp.com/BLDVlGxAuXH2z2p5y9u9fq
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#regrann #nyumbazakisasa #rent #nyumbanzuri #auction #dalaliwanyumba #viwanja #mashamba #plot #kiwanja #cloudstv #nyumbanafuu #nyumbayakupanga #nyumbayangu #rentals #homesweethome #maishaninyumba
#daressalaam #wemasepetu #mwanza #kilimanjaro #nyumba #magari #tanzania #biashara #bongo #kariakoo #business #home #houseforsale