Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







STAND ALONE MPYAAA KABISA UNAZINDUA MWENYEWE HII
INA PANGISHWA KIMARA TEMBONI
KODI NI 550,000X6
UMBALI KM 1 TU
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA SANA
JIKO LINAWEKWA MAKABATI
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA PAVING ZINAWEKWA
NYUMBA HII ITAKUWA TIYALI KUINGIA KUANZIA TAREHE 25.10.2025
ILA KUONA NA KULIPIA NI LUKSA
IPO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747