Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


STAND ALONE INAPANGISHWA
HII NI KWA WALE WANAOPENDA KUKAA KWENYE NYUMBA NZURI YA KISASA NA SEHEMU TULIVU NA USALAMA WA KUTOSHA JIRANI NA BARABARA
NYUMBA NI KUBWA SANA NA INA PARKING YA KUTOSHA
VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA NI MASTER SEBULE KUBWA SANA JIKO LA KISASA NA DINING
NYUMBA IPO KIMARA STOP OVER DAKIKA 6 KWA MGUU
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI YA PEKEAKE INAJITEGEMEA KILA KITU UMEME NA MAJI
BEI NI TSH 600,000/=×6
SERVICE CHARGE 15,000/=
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU ILI KUEPUKA USUMBUFU
=====
0652472014
0754344786