Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


HII HAPA STAD ALONE WAHI CHAPU INAPANGISHWA
KODI 350,000X6
LOCATION KIMARA TEMBONI
UMBALI KM 2
USAFIRI BAJAJI 1000
BODA 1000
VYUMBA VITATU VYA KULALA VIKUBWA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA JIKO KUBWA NA TOILET PUBLIC YA NDANI
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI PARKING SAFI IPO KATIKA FINISHING ZA MWISHO KUONA NA KULIPIA LUKSA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000
NA BILA KUSAHAU MALIPO YA KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347