Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE KIMARA SUKA DK15 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
------
Vyumba 3 vya master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Full air condition
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Heater ya maji moto maji baridi
Ndani ya fence
Parking space kubwa
-------
Service charge 15,000/=
Kodi 1,000,000/=×6
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni milioni 1
--------
Contact
#0676_218580 (WhatsApp)
#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏



















