Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA KALI KARIBU NA BARABARA INAUZWA
BEI M 75 MAZUNGUMZO KIDOGO
UKUBWA WA ENEO SQM 400
π NYUMBA HII HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA CHUNYE KABATI KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO ZURI LENYE MAKABATI
#DAININI
#STORE
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
HII NYUMBA INA MPANGAJI ANALIPA KODI 400K KWA MWEZI
#HII NYUMBA HAINA FENCE UPANDE MMOJA
BEI NI M75
π«π« NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 UNATEMBEA DKK 15 AU UCHUKUE USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA 1000 UPO MUDA WOTE NDUGU
SERVICE CHARGE 30K
0746 433 854