Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT 2 TU NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA KIMARA STOP OVER KM1.5 KUTOKA LAMI .
VYUMBA 3 VYA KULALA VYOTE MASTER BEDROOM
SEBLE KUBWA SANA
DINNING ROOM
JIKO KUBWA LA KISASA LINA MAKABATI SAFI
PUBLIC TOILET
CHUMBANI KUNA AC
MAJI YANA FLOW
LUKU YAKO
TILES
GYPSUM
SLIDE WINDOW
NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA SANA
KILA NYUMBA KUNA GETI LAKE
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI 650,000/=ร6
####0655256419