Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







ISHI KWA MALENGO NDUGU MTEJA HII NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE NA UNAIPATA KWA 200,000 TU MALIPO YA MIEZI 6
NYUMBA #INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA
🌟NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA
#SEBULE KUBWA SANA
❌HAKUNA MASTER BEDROOM
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#PARKING KUBWA
BEI NI 200,000/= × 6
💫💫NYUMBA HII INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI IPO KIMARA KOROGWE
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
HAPA UNAWEZA KUFUGA AU KULIMA MBOGAMBOGA NA MAISHA YAKAENDA VIZURI TU
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300