Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(400,000X6)KIMARA TEMBONI 1.5KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BAJAJI 700
➖➖➖➖➖➖
SIFA ZA NYUMBA
INAJITEGEMEA KWENYE FENCE (STANDALONE)
VYUMBA VITATU
KIMOJA MASTER
SEBULE
JIKO
DINNING. CHOO CHA PUBLIC NDANI
➖➖➖➖➖➖➖
HUDUMA
LUKU YAKO
METRE YA MAJI YAKO
MAJI YANATOKA NDANI
PARKING
➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMLIPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747