Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(800,000X6)KIMARA SUKA DK 6 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
——
APARTMENT 2 TU NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA NA HII MOJA NDIYO IPO WAZI KIMARA SUKA DK6 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
-------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sana.
Dinning room
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Full makabati vyumbani
Garden safi
Mazingila mazuri sana
Ndani ya fence
Parking space kubwa
-------
Service charge 15,000/=
Kodi 800,000 ×6
--------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja tu
---------
Piga cm
0716223412
0618976024