Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 500,000

NYUMBA HII NZURI IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA NA ZIPO MBILI TUU KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI BEI NI 500,000/= X 6

ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 01/11/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO

🌟 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#GARDEN

#ZIPO NYUMBA MBILI TUU KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA

BEI NI 500,000/= X 6

💫💫 NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU USAFIRI NI BAJAJI NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE MLANGO KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

0753 989554
0773700963
==÷=÷=

Bashiri Ngenzi
dalali_mbezimwisho_kibamba
Bashiri Ngenzi

Similar items by location

Nyumba inauzwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

(300,000X6)KIMARA STOPOVER DK 8 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD ➖➖➖➖➖➖➖➖➖APARTMENT NZURI SANA tena s...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

Apartiment house for rent nzuri kali sana Location kimara mwisho km 3 usafiri upo bajaji na boda Kod...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

Apartiment house for rent nzuri kali sana Location kimara stop over km1 Kodi 150000 kwa mwezi na dal...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

#APARTMENT FOR RENT🏡PRICE : 400K per Month LOCATION : KIMARA KONASPECIFICATIONSHouse of TWO bedroom...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

#APARTMENT FOR RENT🏡PRICE : 450K per Month LOCATION : KIMARA KONASPECIFICATIONSHouse of TWO bedroom...

Nyumba inauzwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 60,000,000

NYUMBA NZURI MNO ILA INAHITAJI MABORESHO KIDOGO(UNDERGROUND) YA GHOROFA INAUZWA KIMARA OVER####VYUMB...

Nyumba inauzwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 60,000,000

NYUMBA NZURI MNO ILA INAHITAJI MABORESHO KIDOGO(UNDERGROUND) YA GHOROFA INAUZWA KIMARA OVER####VYUMB...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 160,000

APARTMENT NZURI SANA*NDANI YA FENCE* *INAPANGISHWA**KIMARA TEMBONI*💥KODI YAKE 160K X 4*#MASTER BEDR...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 100,000

APARTMENT NZURI SANA INA PANGISHWA KODI 100,000X6LOCATION: KIMARA STOP OVER UMBALI DAKIKA 7 TUU KWAM...

*APARTMENT NZURI SANA* *NDANI YA FENCE* *INAPANGISHWA**KIMARA TEMBONI*💥 *KODI YAKE 160K X 4**#MASTE...

Nyumba inauzwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

200K X6 INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI NIMEISHUSHA BEI NJOO TUMALIZE CHAPUMBALI KUTOKA BARABARANI KM 1....

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 160,000

APARTMENT NZURI SANA*NDANI YA FENCE* *INAPANGISHWA**KIMARA TEMBONI*💥KODI YAKE 160K X 4*#MASTER BEDR...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 100,000

APARTMENT NZURI SANA INA PANGISHWA KODI 100,000X6LOCATION: KIMARA STOP OVER UMBALI DAKIKA 7 TUU KWAM...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 160,000

*APARTMENT NZURI SANA* *NDANI YA FENCE* *INAPANGISHWA**KIMARA TEMBONI*💥 *KODI YAKE 160K X 4**#MASTE...

Nyumba inauzwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 60,000,000

NYUMBA NZURI MNO ILA INAHITAJI MABORESHO KIDOGO(UNDERGROUND) YA GHOROFA INAUZWA KIMARA OVER####BEI M...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 50,000

NYUMBA NZURI, VYUMBA 3,TSHS.60 MILIONI, KIMARA STOP-OVER.Hii nyumba inahitaji Umakiziaji kidogo.Ipo ...

Nyumba inauzwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 60,000,000

NYUMBA NZURI MNO ILA INAHITAJI MABORESHO KIDOGO(UNDERGROUND) YA GHOROFA INAUZWA KIMARA OVER####VYUMB...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI KM2 KUTOKA LAMI ------Chumba master Seble JikoLuku yakoMaji ...