Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT 2 NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA KIMARA KOROGWE KM2 KUTOKA KIMARA KOROGWE AU UBUNGO EXTERNAL
-------
Vyumba 3 vya kulala hakuna master bedroom
Seble kubwa
Jiko
Dinning room
Luku yako
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 500,000/=×6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 5
----------
Contact
#0676_218580(WhatsApp )
#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏