Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(300,000X6)KIMARA TEMBONI 1KM KUTOKA MOROGORO, BAJAJI 700, BODA ELF MOJA
➖➖➖➖➖➖➖
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VITATU
HAKUNA MASTER
SEBULE
JIKO
CHOO CHA PUBLIC NDANI
CAR PARKING GARAGE
➖➖➖➖➖➖
HUDUMA
LUKU YAKO
METRE YA MAJI YAKO
MAJI YANATOKA NDANI
➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMLIPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
06@8976024