Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE NA BEI MSELELEKO NDUGU MTEJA
NYUMBA KUBWA NZURI YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA
BEI NI 400,000/= ร 6
๐ฅ NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA
#STORE
#PUBLIC TOILET
#PARKING
BEI NI 400,000/= ร 6
๐ซ๐ซ NYUMBA HII IPO KIMARA MWISHO
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA AU UKIPANDA BAJAJI UKISHUKA TUU UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300