Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NI JUMBA KUBWA LA KIFAHARI INAPANGISHWA
NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENS #STEND ALONE
#KODI NI MILIONI MBILI KWA MWEZI
#KODI NI 2,000,000 KWA MWEZI
INAFAA KWA OFFICE AU YA KUISHI
NYUMBA IPO KIMARA TEMBONI HAPA MWIKA HANEXS
NYUMBA INA VYUMBA VITATU VIKUBWA VYA KULALA VYOTE MASTER SEBULE KUBWA DAINING KUBWA JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI YA KISASA STOO NA PUBLIC TOILET
UMBALI NI DK 5 TU KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
KWA HII NYUMBA PIGA CM KWA MAELEZO ZAIDI NDG MTEJA WANGU
SERVICHAJ ELIFU 20
CONTACT
0713320608
0686334182