Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







LOCATION KIMARA KOROGWE ๐KWA MKUWA KUTOKA MAIN ROD KM 2
Stand Alone
BAJAJI SH.500 UKISHUKA DK 5 UPO NDANI
BALABALA RAFIKI KWA GARI ZOTE
Sifa zake :-
VYUMBA VITATU KIMOJA MASTER BEDROOM
Sebule kubwa
Jiko
Public toilet
Luku
Maji yana flow ndani
Full tilles & gypsum
Parking yakutosha
NYUMBA IKO KWENYE FENCI
K0di 400,000/= Kwa mwezi mmoja,Malipo miezi 5
Service charge 20,000/=
Nb:nyumba inafanyiwa malekebisho semu zote zilizoalibika ndo unaingia
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.