Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


MABADILIKO YA KODI
-----------------------------------
KODI NI LAKI 450,000 /= KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA.
NYUMBA INAYOJITEGEMEA KWENYE FENSI INAPANGISHWA IPO KIMARA MWISHO UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD.
Vyumba 3 vya kulala kimoja master.
Public toilet/ Choo /Bafu
Sebule kubwa
Dining room
Jiko lenye makabati
Tails #####gypsum
Air condition
Madirisha Aluminium
Umeme Luku inajitegemea
Maji Dawasa yanaflow Ndani
Rezev Simtank
Ipo ndani ya fensi ( rafu floor ya zege )
Parking space ipo
-------
Kodi ni laki 450,000 /=
Kwa mwezi.
Malipo miezi sita na Malipo ya dalali mwezi mmoja pindi ulipiapo nyumba.
Kuona nyumba elfu 15,000 /=
--------------
Note = hii nyumba inafanyiwa marekebisho yote ikiwapo kurudiwa rangi yote ndani na nje ,inawekwa Air condition na Mengineyo.
--------------------------------------------
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI