Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







House for rent stand alone inayojitegemea ndani ya fency
Location kimara korongwe km2 usafiri bajaji na daladala za kwenda mjini
Kodi 600000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Room 3 moja ni master bedroom
Sitting room
Daning room
Kitchen with cabinet
Public toilet
Umeme luku yake
Maji dawasa ndani yanafloo mita yake
Paving block
Parking space
Nyumba ipo ndani ya fency
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128



















