Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE KIMARA TEMBONI KM1 KUTOKA LAMI
------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Dinning room
Jiko kubwa
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
------
Service charge 15,000/=
Kodi 450,000X6
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4.5
--------
Contact
(WhatsApp)
๐น๐ฟ
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐
0713661530_0783661530



















