Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA KUBWA YA KIFAMILIA INA PANGISHWA KIMARA MWISHO
KODI 300,000X6
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA NA DINING
JIKO KUBWA SANA
UMBALI KM 2.5
BAJAJI 1000
TAILS JIPYSUM MADILISHA YA KIOO
MAJI YANA TILILIKA NDANI
NYUMBA HII INAPIGWA RANGI YOTE NA SERVICE NDOGO NDOGO KUMALIZIWA
UNAKABIDHIWA NYUMBA IKIWA MPYA KABISA
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA
MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
#0655256419