Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA KUBWA NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= X 6
π NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA
#STORE
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
π₯HAKUNA FENSI ILA USALAMA UPO WA KUTOSHA NA GARI LINAFIKA HADI KWENYE NYUMBA
BEI NI 400,000/= X 6
=======
π«π« NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
======
Cont
0683234124
0718367179