Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE KIMARA SUKA KM1 KUTOKA LAMI
VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM
SEBLE KUBWA SANA
JIKO KUBWA LA KISASA
MAJI YANA FLOW
LUKU YAKO
NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA
SERVICE CHARGE 15,000
KODI 400,000/=Γ6
#0785889413