Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA INA PANGISHWA 400K
LOCATION: kIMARA STOP OVER dk 10 kutoka main road
NYUMBA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA
Kimoja Master bedroom
Sebule kubwa
Jiko la kisasa
Public toilet
Mita ya Maji yako
Luku yako
Parking yakutosha
Kodi 400,000/= Kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
NYUMBA NI YA KUINGIA HATA SASAIVI
Service charge 20,000/=
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.