Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
VYUMBA 3 VYA KULALA, KATI YA IVYO 2 NI MASTER BEDROOM, SEBULE, JIKO, DINNING, STUD ROOM, STORE, BOY COTER YA CHUMBA NA JIKO NJE, MAJI DAWASA YANA FLOW NDANI
STAND ALONE, NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE NDANI YA FENSI, PARKNG SPACE KUBWA SANA
NYUMBA IKO UMBALI WA KM3, BAJAJI, DALADALA, TAX700/=
KODI 550,000/= KWA MWEZI
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA
WSP 0786085637
SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
SIMU 0659336751