Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







๐ฅ STAND ALONE YA FAMILIA KUBWA INAPANGISHWA
โโโโโ
๐ Kimara Korogwe
๐ Umbali wa dakika 8โ10 kwa miguu kutoka Stendi ya Mwendo Kasi
Usafiri: Boda Tsh 1,000 kutoka stendi hadi eneo la nyumba.
SIFA ZA NYUMBA
๐ฒ Vyumba vitatu (kimoja Master)
๐ฒ Sebule kubwa
๐ฒ Dining
๐ฒ Jiko
๐ฒ Choo cha familia ndani
๐ฒ Umeme & maji inajitegemea
๐ฒ Maji yanatoka masaa 24
๐ฒ Fensi ya michongoma & parking kubwa
๐ Nyumba hii kubwa ipo kwenye ukarabati wa ndani na nje ili kumpa mteja mwonekano mzuri na wa kisasa. Ikikamilika itakuwa safi, nadhifu na ya kupendeza sana kwa matumizi.
GHARAMA
๐ท Kodi: Tsh 450,000/= kwa miezi 6
๐ท Malipo ya dalali: Tsh 450,000/=
๐ท Service Charge: Tsh 15,000/=
___________
๐
#Piga_simu:
#Follow_us ๐
Karibu Sana Mteja ๐
###0655256419



















