Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#350 MALIPO MIEZI x 4
STAND ALONE INAJITEGEMEA FENSI INA JENGWA
LOCATION KIMARA MWISHO KUTOKA MAIN ROD KM 2.5
BAJAJI SH 1000 UKISHUKA UNA PIGA TEKE NYUMBA
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA JIKO PABLIK
TYIES GPYSUM MADILISHA ALUMINIUM UMEME MITA YAKO MAJI YANA TIRIRIKA NYUMBA AIPO KWENYE FENSI ILA INA JENGWA PARKING KUBWA
KODI 350k MALIPO MIEZI 4
KUONA NYUMBA SH 15000/=
MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA
SIMU
0712656027