Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#KODI 300K MALIPO MIEZI X 5
LOCATION KIMARA MWISHO KUTOKA MAIN ROD KM2
SIFA ZAKE👇
VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA SANA
JIKO KUBWA
UMEME MITA YAKO
MAJI YANA TIRIRIKA NDANI
PARKING SPACE KUBWA
PAVING BLOCK
NYUMBA IKO KWENYE FENCI
KODI 300,000 MALIPO MIEZI X 5
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA SH.15000
MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIAPO NYUMBA🤝
SIMU
0712656027