Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI DK12 KWA MIGUU KUTOKA LAMI . BADO FINISHING NDOGO NDOGO KUMALIZIWA KUONA NA KULIPIYA LUKSA
------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Ndani ya fence
Parking space kubwa
-------
Service charge 15,000/=
Kodi 600,000 ×6
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 6
--------
Contact
#0676_218580(WhatsApp)
#0693_673010
#dalali_big__kimara🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏